Mkopo huu kwa sasa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa milioni nane ( 8,000,000/) na una Riba asilimia 2%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi 18 yaana mwaka mmoja na nusu rejesho lake kwa mwezi ni 528,888.89.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya mda mfupi
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa milioni mbili ( 2,000,000/) na una Riba asilimia 3%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi 8 tu. rejesho lake kwa mwezi ni 283,750/.
hivyo ukikopa 2,000,000 utarejesha 2,270,000/ ndani ya miezi nane tu 270,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa 72.
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa laki tano (500,000/) na una Riba asilimia 10%.
hivyo ukikopa 500,000 utarejesha 550,000/ ndani ya mwezi mmoja .
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa 24.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa milioni mbili ( 2,000,000/) na una Riba asilimia 2%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi 6 tu. rejesho lake kwa mwezi ni 256,666.67/.
hivyo ukikopa 2,000,000 utarejesha 2,140,000/ ndani ya miezi sita tu, 140,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa 72.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Pia chama ni Agent wa JUBILEE GENERAL INSURANCE, hivyo unaweza kujipatia bima zote kama nyumba,gali,maisha n.k, kwa ajili ya uhakika na usalama wa mali zako. kata Bima sasa kwa mkopo kisha rejesha kidogokidogo
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa milioni mbili ( 2,000,000/) na una Riba asilimia 2%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi 4 tu. rejesho lake kwa mwezi ni 537,500/.
hivyo ukikopa 2,000,000 utarejesha 2,150,000/ ndani ya miezi minne tu, 150,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, Karibu tukuhudumie kwa haraka zaidi.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa laki mbili ( 200,000/) na una Riba asilimia 10%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya wiki tu. rejesho lake ni 220,000/.
hivyo ukikopa 200,000 utarejesha 220,000/ ndani ya wiki, 20,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa macheche tu.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa laki tatu ( 300,000/) na una Riba asilimia 5%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya mwezi tu. rejesho lake kwa mwezi ni 315,000/.
hivyo ukikopa 300,000 utarejesha 315,000/ ndani ya miezi sita tu, 15,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa 48.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa Laki tano ( 500,000/) na una Riba asilimia 2%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi mitatu tu. rejesho lake kwa mwezi ni173,333.33/.
hivyo ukikopa 500,000 utarejesha 520,000/ ndani ya miezi sita tu, 20,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.
Maombi ya mkopo yanaombwa kwenye mfumo wa TMA unaomba popote ulipo, na ukisha kamilisha maombi yako utaweza kulipwa ndani ya masaa 48.
Ili kuomba mkopo bofya maandishi yameandikwa kurasa ya mwanachama hapo juu au piga simu kwa maelezo zaidi
Chama kinakopesha vifaa vya umeme na vya majumbani vya kutoka Hisense kama vile Tv,friji,washing machine,blender,AC,sound bar na vingine vingi vya majumbani na ofisini. miriki na pendezesha ofisi au nyumba yako kwa mkopo kisha lipa taratibu.
Mkopo huu kwa kiwango kikubwa cha mwisho unatolewa milioni mbili ( 2,000,000/) na una Riba asilimia 3%. mkopo huu unarejeshwa ndani ya miezi 6 tu. rejesho lake kwa mwezi ni 368,333.33/.
hivyo ukikopa 2,000,000 utarejesha 2,210,000/ ndani ya miezi sita tu, 210,000/ ikiwa ndio jumla ya riba ya mkopo huu.